Dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

magnificent idea and duly Brilliant phrase and..

Dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

UCP ni Dawa yenye vidonge 3 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa siku week 2, kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, kisha unapumzika siku2 unaweza tena kidonge kingine.

Vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemkali. UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni na ugumba. Kwa mwanamke kusafisha kizazi ni jambo la msingi hasa pale unapotaka kushika mimba,ama mimba kuharibika. Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi. Ikiwa una magonjwa kama fibroids, ovarian cysts na kuziba kwa mirija hakikisha unapitia makala zake ambazo tayari tumeshaziandaa hapa kwenye website yetu.

Wharfedale speaker repair kit

Mazoezi: Hii ni hatua ya kwanza kabisa kuelekea kwenye kusafisha kizazi chako. Maozei ya kutembea na Yoga ni mazuri zaidi hata kama wewe ni mvivu wa kwenda gym au uwanjani, yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu na unyumbulikaji wa misuli kwenye kizazi. Fertility Massage :Kufanya msaji eneo ya tumbo chini ya kitovu pande zote kulia na kushoto ni njia moja rahisi ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani pasipo gharama.

Masaji ya tumbo inasaidia. Huhitaji kuagiza Indonesia ambako zinatengenezwa, tayari tumekuletea tiba hapa nyumbani. Vidonge hivi vya UCP vitakusaidia kutibu Changamoto zaidi za Uzazi mwonekano wa vidonge vya UCP Kwa mwanamke kusafisha kizazi ni jambo la msingi hasa pale unapotaka kushika mimba,ama mimba kuharibika. Kwa tiba ya hospitali kusafisha kizazi kwa Kifaaa cha MVA ambacho hutumika kusafisha kizazi pamoja gharama za dawa inaweza kufikia shilingi laki 3 na kuendelea.

Gharama hii yaweza kuwa kikwazo kwa wanawake wengine kufikia lengo la kusafisha kizazi. Vidonge vya UCP vinagharimu pesa kidogo tu sh elfu 50 ukilinganisha na gharama ya kusafisha kizazi hospitali, na uwezo wa vidonge hivi vya UCP wa kusafisha ni mkubwa zaidi na ni rahisi kutumia. Kutumia vidonge vya UCP inakuepusha na maambukizi pamoja na makovu ambayo unaweza kupata wakati wa kuingiziwa kifaa cha kukusafisha hospitali. Vidonge vya UCP vinakusaidia pia kuongeza uzalishaji wa ute kwenye uke, ute ambao ni muhimu kwa mimba kutungwa.

dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

Wanawake wenye Uvimbe kwenye kizazi Uvimbe kwenye mifuko ya mayai ovarian cysts Maambukizi sugu kama PID na UTI Kuvurugika kwa homoni na hedhi Kukosa hamu ya tendo la ndoa na maumivu wakati wa tendo Kuziba kwa mirija ya uzazi Kuimarisha misuli ya uke Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni na Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba Ucp haitumiki kwa Wanawake hawa Wenye mimba Wanawake bikira Hatua Zaidi za Kuimarisha Afya ya Kizazi Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi.

Masaji ya tumbo inasaidia Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye kizazi,ovari na mirija ya uzazi Kusaidia uwiano wa vichocheo Kuongeza uwezo wa kizazi kujisafisha kwa kutoa tishu zilizokufa na damu ya hedhi Kuimarisha usambazaji wa hewa safi ya oksijeni kwenye kizazi na Kuimarisha misuli ya kizazi. Elfu hamsini Huhitaji kuagiza Indonesia ambako zinatengenezwa, tayari tumekuletea tiba hapa nyumbani. Makala inayofuata: Kinachopelekea kuziba kwa mirija ya uzazi Share and Enjoy!Post a Comment.

My Web. LISHE bora ni muhimu kwa kila mtu, mwanamke na mwanaume na watoto wanatakiwa wapate lishe bora. Mwanamke aliye katika umri wa kuzaa anahitaji apate lishe bora ili kumwezesha kupata ujauzito pale anapohitaji. Haitakiwi mwanamke atafute ujauzito kwa muda mrefu. Endapo umetafuta ujauzito kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi na hujafanikiwa basi kuna tatizo.

dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

Tatizo la kutopata ujauzito linaweza kuwa kwa mwanamke au mwanaume. Vyanzo vya matatizo ya kutopata ujauzito kwa mwanamke vipo vingi mfano matatizo ndani ya kizazi, mirija na vichocheo au homoni. Miongoni mwa chanzo cha tatizo hasa katika mfumo wa homoni ni kutopata lishe inayofaa. Matatizo haya ya lishe yanaweza kuathiri hata uzalishaji wa mbegu kwa mwanaume. Matatizo ya mirija na kizazi inaweza kuwa maambukizi ya muda mrefu, uvimbe na kubadilikabadilika kwa siku za hedhi.

Mwanamke mwenye matatizo kwenye kizazi na mirija hulalamika maumivu chini ya tumbo kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kutokwa na uchafu au majimaji ukeni.

Matatizo kwa mwanaume pia husababisha mwanamke asiweze kushika mimba. Mwanaume anaweza kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume, kufanya tendo la ndoa na kushindwa kutoa manii, kutoa manii na kutokuwepo na mbegu za kiume au kutoa mbegu za kiume zisizo na sifa mfano hazitembei, goigoi au zina kasoro. Aina za vyakula.

Vyakula mchanganyiko ni muhimu ambavyo vina vitamin za kutosha. Kila vitamin tutakayokuja kuiona ina umuhimu wake. Lishe bora huchangia mfumo wa homoni mwilini na kumuwezesha mwanamke aweza kupata upevushaji wa mayai.

Dalili za upevushaji ni kupata ute wa uzazi ambao ni ute mwepesi na unavutika na ute mzito. Katika matoleo yajayo tutaona vipindi ambavyo ute huu unatoka na vipindi ambavyo unaweza kushika mimba kwa hiyo usikose kusoma kila Ijumaa.

Puneri meaning

Lishe bora pia inawezesha kutoa mbegu bora na zenye sifa kwa mwanaume. Mwanamke anapotarajia kupata ujauzito unatakiwa uwe na kiwango cha kutosha cha vitamin B ambazo ni muhimu kwa mfumo wa homoni, Folic Acid husaidia kuendeleza uzalishaji wa mayai ya uzazi, Vitamin C nayo kitaalam husaidia kusafisha mifumo ya uzalishaji mayai na kuyaweka sawa.

Neo geo fighting game

Vitamin hizi hupatikana katika vyakula mbalimbali pamoja na hizi nyingine pamoja na madini ambayo tutakuja kuziona. Virutubisho hivi siyo tu kwa mwanamke bali hata kwa mwanaume. Vyakula muhimu kwa uzazi Vipo vyakula vingi sana lakini kwa leo tutaona baadhi na vingine tutaona siku zijazo. Hupatikana kwenye vyakula vya protin mfano nyama, maharage, kunde, choroko, njegere, soya na jamii zote za kunde na nyama aina zote pamoja na mayai.

Vitamini A hupatikana katika mayai, maembe, ndizi mbivu, mboga za majani kama mchicha, matembele, mnavu, kisamvu na majani ya maboga na jamii zake. Hupatikana pia katika maziwa na mafuta ya samaki. Vitamini A pia ni muhimu hata wakati wa ujauzito na kwa watoto wadogo. Vitamin B na Folic Acid Vitamini B zipo aina nyingi takriban sita, hatutaweza kuchambua moja baada ya nyingine leo ila tutakuja kuona kwa undani baadaye na ni muhimu sana katika uzalishaji wa mayai ya uzazi na kuepusha kasoro kwa mtoto atakayezaliwa.

Kuhusu Dawa Za Kutoa Mimba

Vitamin C, Vitamini E na madini ya chuma pia vina umuhimu mkubwa katika uzazi, madini kama Magnesium husaidia ubora wa uzazi na kuzuia mimba kuharibika mara kwa mara. Jamii ya vyakula hupatikana katika mayai ya kuku, mafuta ya kupikia yatokanayo na mbegu mfano alizeti, mawese na mengineyo, karanga, maparachichi, viazi vitamu na mboga za majani.

Madini ya chuma hupatikana katika nyama mfano maini, figo, moyo, mayai, samaki na dagaa, mbegu za mafuta mfano alizeti. Epuka matumizi ya chai ya rangi, kahawa na uvutaji wa sigara unapotumia vyakula hivi vyenye madini ya chuma.Nchi nyingi zina sheria zake zinazohusiana na upatikanaji na matumizi ya vidonge vya kutoa mimba.

Kwenye nchi ambazo utoaji mimba unaruhusiwa, madaktari wengi hupendekeza kutumia dawa za utoaji mimba mifepristone na misoprostol ndani ya wiki 10 za mwanzo za mimba, lakini misoprostol ina ufanisi mkubwa pia kama unajaribu kutoa mimba ndani ya wiki 10 za mwanzo. Dalili zake ni sawa sawa na zile za mimba kuharibika, na dawa za utoaji mimba ni salama kwa wanawake kutumia faragha. Dawa zinazotumika kutoa mimba zinafanya kazi kwa kulegeza na kufungua taratibu shingo ya mfuko wa kizazi mlango wa kizazina kusababisha mfuko wa kizazi kukaza ambayo inasukuma mimba nje ya kizazi.

Kwa kutumia Misoprostol, kwa kawaida katika saa 1 au 2 baada ya vidonge vya kwanza kuingia mwilini mwako, utaanza kuumwa tumbo na damu kutoka. Kwa kawaida mimba itatoka ndani ya masaa 24 baada ya kunywa vidonge vya mwisho vya misoprostol, mara nyingi mimba inatoka kabla ya muda huo.

Kama unafuatilia vizuri, unaweza kujua mabaki ya mimba yanavyotoka. Unaweza kuona vitu kama vile zabibu ndogo nyeusi kidogo na utando mwembamba, au kifuko kidogo kilichozungukwa na utando mlaini mweupe.

Kutegemeana na umri wa mimba, tishu hizi zinaweza kuwa ndogo kuliko ukucha wako hadi kufikia ukubwa wa kidole gumba. Kama unaweza kutambua mabaki haya, ni dalili kuwa utoaji mimba umefanikiwa. Mara nyingi mabaki ya mimba yanaweza kuwa ndani ya mabonge ya damu.

Unaweza usione mabaki haya isipokuwa ukiwa makini sana. This website may require anonymous cookies and various third party services to function properly. By continuing to use this site you are giving us your consent to do this. Kuhusu Dawa Za Kutoa Mimba.Tatizo la uvimbe kwenye kizazi fibroids ni kubwa na linawatokea wanawake wengi sana.

Kwa mujibu wajarida la New England Journal of Medicine, kila mwaka zaidi ya wanawakewanafanyiwa upasuaji wa kuondoa kizazi chote hysterectomy kutokana na tatizo hili la fibroids. Fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba,uitwao uterusi, uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi na pia dalili zingine mbaya.

Wanawake wengi huanza kupata maumivu makali wakati wa hedhi kutokana na uwepo wa uvimbe kwenye kizazi fibroids. Ni jambo la msingi zaidi kwa wanawake wote kuchukua hatua katika kuzuia kutokea kwa fibroids. Tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba kuzuia au kutibu tatizo la kupanda kwa presha ya damu husaidia kupunguza hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi fibroids. Utafiti uliofanyika katika chuo kikuu cha Havard unasema kuna uhusiano mkubwa kati ya presha ya damu na hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi fibroids kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi.

Je fibroids inaweza kusababisha kuvuja damu, maumivu ya mgongo na dalili zingine mbaya? Inawezekana kabisa lakini siyo kila mwanamke mwenye fibroids hupata dalili hizi, lakini pia uwepo wa dalili hizi siyo lazima kwamba una fibroids, unaweza kuwa na tatizo lingine la kiafya, ushauri mzuri ni kuonana na dactari haraka ili kupata vipimo.

Zifuatazo ni dalili zinazojitokeza kwa wanawake wengi zaidi wenye uvimbe kwenye kizazi. Wakati mwingine mwanamke anaweza kupata fibroids akiwa kwenye ujauzito, ni dalili gani zinaweza kujionesha? Uvimbe kwenye kizazi fibroids inaweza kusababisha shida wakati wa kujifungua na kupelekea mwanamke kujifungua kwa upasuaji. Inaweza kupeleke ugumba pia kama tatizo ni kubwa sana kutokana na kwamba inakuwa vigumu kwa yai kurutubishwa na kisha kujishikiza kwenye ukuta wa uterus maana tayar kumesambaa uvimbe.

Kwa wanawake ambao bado hawajazaa hushauriwa kutumia dawa ili kupunguza ukubwa wa uvimbe kabla ya kupata ujauzito, kama tatizo ni kubwa zaidi basi upasuaji hufanyika kabla ya kushika mimba. Kumbuka ni vizuri kufanya vipimo kabla hujaamua kushika ujauzito, hii itakusaidia kupunguza hatari ya kumpoteza mtoto. Kuvuja damu na maumivu ya tumbo pia huweza kutokea kutokana na uvimbe kupoteza damu yake. Kwahiyo madactari wa wanawake hupendekeza mgonjwa kufanyiwa ultrasound mara kwa mara ili kufatilia maendeleo ya uvimbe.

Jina la kitabibu la fibroids ni leiomyoma au myoma. Ukubwa, mahali ulipo uvimbe na pia idadi ya vimbe hizi inachangia zaidi kwenye uwepo wa dalili mbaya aatakazopata mwanamke. Inawezekana kabisa kuwa na aina zaidi ya moja ya fibroid katika md mmoja kama zitatokea mahali tofauti tofauti kwenye uzazi wa mwanamke. Aina kuu za uvimbe kwenye kizazi fibroids ni kama zifuatazo. Intramural fibroids; ni aina marrufu zaidi na zinawatokea zaid wanakwake.

Aina hii ya fibroid hukua na kumea kwenye misuli ya ukuta wa uterus.

dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

Kadiri zinavokua basi husababisha kupanuka au kuvutika kwa kizazi na kusababisha dalili kama hedhi ya muda mrefu inayoambatana na maumivu ya nyonga. Subserosal fibroids: aina hii ya fibroids hukua nje ya ukuta wa mfuko wa mimba, wakati mwingine kuelekea kwenye kibofu cha mkojo. Aina hii ya fibroids huweza kusababisha maumivu ya chi ya mgongo kutokana na kwamba uvimbe huu unasukuma nerve za sipnal na kusababisha presha kubwa kwenye eneo la chini ya mgongo.

Aquaculture

Submucosal fibroids: aina hii ya fibroid hukua karibu na ukuta wa uterus. Cervical fibroids: hizi hukua kwenye tishu za mlango wa kizazi ambao huitwa cervix, hutokea mara chache sana ukilinganisha na aina zingine za fibroids.

Vihatarishi gani vinaongeza uwezekano wa kupata fibroids: dalili zifuatazo zinaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi. Hatua ya nne.

Cam license online courses georgia

Kunywa chai tiba herbal tea unaweza utembelea kwenye stoo yetu ili kuweka oda: chai tiba zipo aina nyingi baadhi ya chai hizi ni pine pollen na kuding teachai hizi husaidia kubalansi homoni zako na hivo kusaidia katika kutibu uvimbe.

Hatua ya tano, Tumia mafuta ya castor: unapopakaaa mafuta ya castor kwenye tumbo lako husaidia kuongeza usafirrishaji wa damu na hivo kurahisisha utolewaji wa sumu haraka kwenye mwili.

dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

Watafiti wengi wa tiba wanaamni kwamba mrundikano wa sumu ndio unaopelekea kukua kwa fibroids. Jaribu pia detox package yetu ndani ya siku 30 ili kusafisha sumu kwenye mwili. Hatua ya sita: Jiepushe na mzingira hatarishi yenye sumu : mazingira yenye sumu mbalimbali kama za kuua wadudu kwenye mazao, kemikali kwenye vyakula vya viwandani kuzuia ili visiharbike, kemikali za kuua magugu, na kemikali kwenye sabuni na mafutavyote hivi huchangia kukua kwa uvimbe kwenye kizazi fibroids kwa kuharibu mpangilio wa homoni.

Na mwisho kabisa. Mazoezi hurekebisha presha ya damu, kuimarisha kinga, na kubalansi homoni zako. Kwa mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi fibroidstunashauri atumie uterus cleansing pill kusafisha kizazi na kurekebisha homoni zake.Binti mmoja wa miaka 16 anaingizwa katika kituo kimoja cha afya mkoani Geita akiwa hajitambui. Amepoteza fahamu, harufu kali inamtoka mwilini. Baba na mama yake wamechanganyikiwa na wamejawa na hofu ya kumpoteza binti yao wa pekee aliyepata mimba akiwa shuleni kidato cha pili.

Kwa woga wa kuadhibiwa na wazazi na walimu, binti huyo alitoroka na kwenda kujificha kwa rafiki yake, huku akiomba asaidiwe kuitoa mimba hiyo. Rafiki yake akamshauri na kisha kumpeleka kwa mganga wa kienyeji, huko akapewa dawa ya mizizi. Baada ya kufikishwa kituoni hapo wahudumu walimfanyia uchunguzi na kugundua kuwa binti huyo alikuwa ameoza sehemu ya kizazi kutokana na kurundikana kwa uchafu wa mabaki ya mimba iliyoharibika.

Hali hiyo ilisababisha kutokwa na usaha na wadudu aina ya funza walioonyesha kuwa eneo la kizazi chake lilikuwa limeoza.

Lakini pia aligundulika kuishiwa damu mwilini kutokana na kuvuja kwa wingi. Alipofariki mama alilia kwa uchungu mkubwa akikumbuka kuwa hata yeye hakuwa tena na kizazi kwani alitolewa baada ya mimba yake ya pili kutunga nje ya kizazi. Kwake marehemu alikuwa mtoto wa pekee maishani. Hadithi nyingine ni ya Flavian Kansola 22mkazi wa Kijiji cha Tulabusiga Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, yeye alitoa mimba kwa kunywa juisi ya katani iliyochanganywa na majani ya chai. Aliambiwa na ndugu zake kuwa inatoa mimba.

Bila kwenda kituo cha afya, alimeza dawa hiyo baada ya nusu saa alianza kusikia maumivu makali ya tumbo. Mara damu zilimtoka aligalagala chini huku akilalamika kuwa anakufa. Damu ilikuwa nyingi hadi akafikia hatua ya kapoteza fahamu.

Hakuweza kupata matibabu ya haraka kutokana na kituo cha afya kuwa mbali. Alipewa huduma ya kwanza kwa kutumia dawa za kienyeji baada ya muda fahamu zilimrejea, hata hivyo, alishapoteza damu nyingi.

Baada ya hali kuzidi kuwa mbaya walimpelaka hospitali baada ya kukaa nyumbani kwa siku tano. Walipomfikisha walikuta kizazi kimeharibika kwa kuwa kilichanika na hakikufaa tena kwa kushika mimba, ilibidi aongezewe damu na kuondolewa kizazi ili kuoka maisha yake. Pia, utafiti huo unaonyesha wanawake 47, wanakufa kila mwaka katika Bara la Afrika kutokana na utoaji wa mimba kwa njia ambazo siyo salama sawa na asilimia Shirika la Marie Stopes linatumia taarifa hiyo kukadiria kuwa utoaji wa mimba usio salama nchini unasababisha vifo vya takriban wanawake 1, kila mwaka.

Hii ni sawa na wanawake wanne wanaokufa kila siku. Andrea Pembe ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika Hospitari ya Taifa Muhimbili MNH anasema utafiti uliofanywa na hospitali hiyo kwa kushirikiana na asasi ya NEMLEC mwaka unaonyesha utoaji wa mimba kwa kutumia dawa za kienyeji na waganga wajadi unaongoza huku maeneo ya vijijini yakionekana vinara.

Anasema dawa za miti shamba ambazo nyingi zinatumiwa na wasichana walioko vijijini zikimezwa huwa zinaenda tumboni, zikifika zinatengeneza maambukizi ya bakteria kwenye damu ambao kitaalamu wanaitwa Septicaemia. Katika utafiti wao walibaini wanawake wengi wanakwenda katika vituo vya afya baada ya kujaribu kutoa mimba kwa kutumia dawa hizo, lakini huwa hazitoki na mwishowe huwasababishia madhara tumboni na sehemu za uzazi.

Dk Pasiens Mapunda, Mwakilishi wa Shirika la Pathfinder nchini ambaye pia ni daktari wa magonjwa ya wanawake anasema mwanamke anayetoa mimba kwa kutumia dawa za kienyeji, anaweza kuwa tasa ama kupoteza maisha. Kibaya zaidi anasema wanawake wengi wamekuwa wakienda vituo vya afya pindi hali inapokuwa mbaya na mwishowe wanafariki au kuathirika kizazi.Maudhui haya yametoka kwenye Sura ambazo zimetangulizwa kutoka Pale ambapo Wanawake hawana Daktari.

Hedhi ya kawaida ya kila mwezi inapaswa kuanza tena kati ya wiki 4 hadi 6 baada ya kutoa mimba. Lakini unaweza kupata ujauzito tena baada ya siku Baada ya kutoa mimba, dalili za ujauzito kama vile kichefuchefu na maziwa kuuma, zinapaswa kutoweka ndani ya siku 1. Kama hazitatoweka, inamaanisha unaweza kuwa bado na ujauzito, aidha kwenye mji wa mimba au kwenye mojawapo wa mirija inayopitisha mayai ya uzazi ectopic pregnancy.

Dawa Ya Misoprostol

Hii ni dharura. Muone daktari au mfanyakazi wa afya mara moja. Unaweza kusikia uchovu kidogo na kupata maumivu tumboni au maumivu ya siku moja baada ya utoaji mimba. Utakuwa unatokwa damu kiasi ukeni kwa muda hadi wiki 2.

Lakini baada ya siku 1, itakuwa kama hedhi nyepesi ya kila mwezi. Hedhi yako ya mwezi inapaswa kurudia hali ya kawaida ndani ya wiki 4 hadi 6 baada ya utoaji mimba. Inaweza kuchukua muda zaidi kama ujauzito wako ulikuwa zaidi ya miezi 5 hadi 6.

Kama hukupata mtu wa kuongea naye baada ya kutoa mimba, inaweza kusaidia sasa kuongea na mtu unayemwamini juu ya mawazo yako. Maongezi haya yanaweza kukusaidia kujisikia vizuri. Hesperian Health Guides. Hesperian Health Guides Nini cha kutarajia baada ya kutoa mimba? Rudi kwenye nyenzo na machapisho ya Kiswahili. Pale ambapo Wanawake hawana Daktari. Katika sura hii: Sura ya Utoaji mimba na matatizo yanayotokana na utoaji mimba Kwa nini baadhi ya wanawake hutoa mimba?

Utoaji mimba salama na usiyo salama Kufanya uamuzi juu ya kutoa mimba Njia salama za utoaji mimba Nini cha kutarajia katika utoaji mimba salama? Nini cha kutarajia baada ya kutoa mimba?Misoprostol ni dawa iliyo kundi la prostaglandin. Hujulikana kwa majina kama miso, cytotec. Hutumika katika matibabu ya vidonda vya tumbo, ujauzito na wakati wa kujifungua. Inatumika sana katika utoaji mimba usio salama na wakati mwingine kuleta madhara kama kutokwa damu nyingi na maambukizi kwenye mji wa uzazi.

Misoprostol ni aina ya prostagndin ya kutengenezwa ambayo huzuia kuzalishwa kwa tindikali ya tumboni na kusaidia kulinda kuta za tumbo.

Bemer faq

Kwenye tumbo la uzazi hufanya kuta za uzazi kusinyaa na hivyo mimba kutoka kama mtu alikuwa mjamzito, au damu kutoka kama alikuwa amejifungua. Vidonge hivi unaweza kunywa, kuweka chini ya ulimi au ndani ya uke ikitegemea na tatizo linalotibiwa. Dawa hii hutumika katika. Misoprostol sio salama kabisa kutumika wakati wa ujauzito. Inaharibu mimba. Matumizi ya misoproatol yanaweza kuleta madhara yafuatayo kwa mtumiaji.

Wahi hospitali kama unatokwa na damu ukeni baada ya kunywa dawa hii. Kunywa dawa pamoja na chakula ili kuondoa uwezekano wa kuharisha. Like Like. Mara ntingi homa hutulizwa kwa dawa kama panadol na diclofenac.

Kwa tatizo kama hio inaweza kana kuna maambukizi kwenye mji wa uzazi hivyo huwa anatakiwa kutumia na antibiotic wa ajili ya kuondoa maambuizi yanayoleta homa. Kuna wakati mabaki yanakuwa tumboni ambapo inawezakuhatarisha afya ya mjamzito huyo. Vizuri afanyiwe uchunguzi. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email.

Search for: Search. Date: December 14, Author: Dr. Edward Moshi 9 Comments. Kutoa mimba. Tahadhari Usitumie dawa hii kama una mimba. Inaweza kuharibu ujauzito wako.


Voodoosho

thoughts on “Dawa ya kusafisha kizazi baada ya kutoa mimba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top